THE WEEKLY JOKER By matt son sang TBT Wasee tulieni niwape information Sahizi tuko another generation Kuna vitu vingine havina option Sijui hata moja lakini naeza mention Zamani unaeza pata dem huko location Ameumbika, sura kapewa nyororo bila lotion Nywele ni zake yaani si ya horse ni Gods creation Lakini kumfikia ni noma ni kama ndume kupewa injection Wngine wanatembea bila bra au chupi but bila intention It is only when they have made the right and confirmed decision That is when you can access her territories bure utaface incarceration Nowadays warembo ni wa kuleta temptation They hang around like administration police near a police station Wengine ni kuongea kwa sauti ya juu utadhani wako broadcasting station Hawana utulivu, they move from one point to another unaeza wamistake kuna migration Bra na panty ni ndoto kwao but mark my words, wako na intention Lipstick wamejipaka mob, eyeshadow nazo, ukiwaona utaeza fikiria ni advert ya action Tights nazo ndo ziko fashion, huku nyuma h...