17 Interesting statements you must hear in the streets of any campus before sunset.
By matt son sang
I have always been hearing some campus
students talk of issues as they pass by. Some will accuse me for
eavesdropping but that is not the issue, some people failed to
understand the difference between chatting/talking and shouting. These
are the top interesting statements I had ever heard.
Ladies
1.Cosy nowadays amekondaa, ama alipata bol akaiflush….
2.Me
pia huyo boi alinikatia first sem but then sikujua ako na Judie sa
ameshinda akinirushia macho mbaya anafikiria nilala na yeye Smh.
3.Huyo boi ni mhandiee shida tu anaplayingi madem sana, hata namshuku sanaa.
4.Umemuona Mary of late? Imagine ako na bol na huyo boy wake alimruka, hyo maringo yake imeisha hahaa.
5.Imagine lect alinitext sato, hi, sijui alikua anatakaje surely, but sikumreply ju sikujua motive yake (she replied I guess)
6.Uliskia
Johny alikosana na Joy, aty alimpata kwa room yake na boy mwingine,
waah! Na vile alikua anampenda heheee acha nicheke tu!
7.Kuna
mse flani anawork hapa campo anashinda akinical hadi tukimeet
nowadays anawink, he! aki ni mhhot sijui anataka kunisponsor? Me
siezi taka.Anataka tu.
8.Hehey sijakuambia, umeona status ya njeri whatsap? Aky I guess ako na stress ama wamebreak up tena na yule new catch wake woi hehee!
9.Aky me sipendi maboy wanapenda kuwatch soccer, wanaezakuplay in the name of ako akiwatch na mabeshte.
10.Huyo dem wa praise and worship anajifanyanga mkristo anafkiria nani hamjui, najua ako tu akijimarket hhe.
Men
11.maze nowadays Lucy hunimada waah!
11.maze nowadays Lucy hunimada waah!
12.Hey Kevo huyo jamaa wa shisha ashakam ama bado? Maze siezi shikanisha kabla nidunge mtuangu akifika nishtue.
13.Huyu dem si ako na hips, but sura tu undo imemkataa (his friend) si unaezafunga macho umfyatue joh!
14.(fourth years)Freshas wa this time ni wazee bana, hakuna wasupa sioni nikimada nijitoe(sure!)
15.(Phone call) niaje Jemo, nijenge thao nane mtuangu ile doo tuliconsume ile Friday ilikua fee maze na exam ni kesho, niokolee bro.
16.Niko na stress buda phone ilienda jana usiku kwa bash ya Juliet.
17.Huyo landlord ni fala sana anafikiria tunatoa wapi pesa, sisi ni wanafunzi bana aache umama.If you have to leave, leave a comment. 😅😅
Comments
Post a Comment