Watu waachwa mdomo wazi baada ya mti moja kuota matunda kwenye majani yake.
Si jambo la kawaida kwa mti huo kuota matunda kwenye majani yake,jambo ambalo limewashangaza watu wengi kaunti ya Baringo.
Miongoni mwa maoni yaliyotolewa na wakaazi wa eneo hilo ni kuwa, ishara za dunia kuisha zinaendelea kubainika siku baada ya siku.
Swali ni Je, ni jambo la kawaida mti kuota matunda kwenye majani?
Comments
Post a Comment