Siku chache baada ya kusitishwa kwa mgomo wa walimu uliyodumu kwa wiki nne, wanafunzi watakaotahiniwa mwaka huu, wajiweka Katika shamrasharamra za kujihandaa ili kukabiliana na mtihani wa kitaifa.
Licha ya kupoteza mwezi moja kwa mgomo, wanafunzi wadai kuwa wako tayari kufanya mtihani huo kama ilivyoratibiwa hapo awali. Wanafunzi wanne Kati ya watano wanapinga hatua inayokusudia kusongensha siku ya kuanza kwa mtihani huo.
Miongoni mwa walimu waliomaliza sillabasi mapema, hawaungi mkono kusongeshwa Kwa mtihani huo, kwani walidurusu tangia mapema mwezi wa tisa huku wakitetea haki yao.
5g researchers achieve record speed Record –breaking speeds have been achieved during tests of 5G data connections, scientists have said. Researchers in the university of Surrey’s 5G innovation centre managed one terabit per second (Tbps) which is many thousands of times faster than current data connections. The head of the 5GIC said he hoped to demonstrate the technology to the public in 2018. Ofcom has said 5G could be available in Britain by 2020. At 1Tbps, it would be theoretically be possible to download a file 100 times the size of a feature film in about 3 seconds. The speed is more than 65,000 times faster than the average 4G download speeds. According to news website V3, 5GIC director prof Rahim Tafazoli said: “we have developed 10 more breakthrough technologies and one of them means we can exceed 1Tbps wirelessly. This is the same capacity as fibreoptics but we are doing it wirelessly” (BBC NEWS).
Comments
Post a Comment