THE WEEKLY JOKER
By matt son sang
Music is there to inform, educate and entertain. But Kenyan music is cheating us.
Willy Paul aiimba anataka kujitia kitanzi na bado anaimba kumaanisha ako alive
Nameless naye baada ya kutudangaya hana jina, akasema anarudi nyumbani kukaa but naskia aipepea tena kama butterfly hatujui anaenda kwa museveni ama wapi.
Jaguar naye hajaachwa nyuma. Alisemanga kila mtu amemgeukia, duniani kila mtu ni kigeugeu sasa mwenye anamlinda kama commando ni wa wapi? Mimi sijui.
The hart the band nao wantuambia tuulize maswali viatu vyao, kwani viatu vya sikuhizi viko digital hadi vinaongea?
Kidum na man ingwe walisema wanamulika mwizi, wapi hata jana kuna nyumba iliporwa hapa.
Bahati naye anatubeba ufala anatuuliza ni barua ngapi aliandika kwa njia ya muziki, kwani sisi tulikua akiandika?
Teacher: juma, mbona umechelewa hivo? See me in my office.
Juma: mwalimu usinitishie ama uulize kiatu. Ask my shoe.
Comments
Post a Comment