THE WEEKLY JOKER
By Matt son sang
By Matt son sang
Kama lunch time ni githeri na supper ni ugali, inamaanisha ukila githeri usiku hiyo ni lunch time uko?
Asiyesikia la mkuu huenda masikio yake yaligoma kusikia yaliposikia guu lake litavunjika.
Kama polepole ndiyo mwendo Tergat arudishe gold alipata akikimbia na maharaka zake.
Pilipili usiyoila usinunue wala kuuweka kwa chakula chako.
Mtaka yote ni mlafi.
Mtaka cha mvunguni anunue kitanda kwanza kabla hajainama.
Kama kijiti ni msema ukweli witness ni ya nini?
Aliye juu mngoje chini ama upande juu mutashuka wote.
Kama mvumilivu hula mbivu tulizeni hii story ya kusoma.
Kama uko sport pesa ulibet, unabet na utabet jackpot yenye haikuji, subira huvuta kheri ikue slogan yako.
Ukiona simba kanyeshewa toroka hakuna time ya kufikiria ni paka.
Comments
Post a Comment