By matt son sang
Wasee tulieni niwape information
Sahizi tuko another generation
Kuna vitu vingine havina option
Sijui hata moja lakini naeza mention
Zamani unaeza pata dem huko location
Ameumbika, sura kapewa nyororo bila lotion
Nywele ni zake yaani si ya horse ni Gods creation
Lakini kumfikia ni noma ni kama ndume kupewa injection
Wngine wanatembea bila bra au chupi but bila intention
It is only when they have made the right and confirmed decision
That is when you can access her territories bure utaface incarceration
Nowadays warembo ni wa kuleta temptation
They hang around like administration police near a police station
Wengine ni kuongea kwa sauti ya juu utadhani wako broadcasting station
Hawana utulivu, they move from one point to another unaeza wamistake kuna migration
Bra na panty ni ndoto kwao but mark my words, wako na intention
Lipstick wamejipaka mob, eyeshadow nazo, ukiwaona utaeza fikiria ni advert ya action
Tights nazo ndo ziko fashion, huku nyuma hata siwezi mention
Zimejichora ni kama kuna competition ya “behind” publication
High heels nazo? Zimewaraise juu ni ka pacquao na mayweather wako atmospheric competition
They wear too short skirts, they need enough air circulation
Ni ka huko kuna some suffocation
Ama shida ni gani? I need some clarification
But kuna wale wako na respect and not from the location
Hata wanatumia lotion na wanavaa with moderation Thanks to them wanaleta differentiation among this generation . generalization will be a limitation..
Comments
Post a Comment